,

,

,

,
Music

Belle 9: Siwezi kufanya Singeli, ni bubble gum music

Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli. Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita na katu hauwezi kudumu

Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM, Prince Ramalove iwapo atafanya muziki huo mashabiki wakimtaka.
“Sitegemei,” alisema Belle.
“Hata kama nitafanya, sitofanya kama release song sababu Singeli ni muziki fulani hivi ambao unapita, ni bubble gum music. Sasa hivi watu wanaushabikia lakini itafika time utapita, sio muziki wa kustick.”
Kwenye video hiyo utamsikia Belle 9 akizungumzia suala hili kuanzia dakika ya 2:00

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.