Wadau wa muziki wa bongofleva nadhan wote mnaelewa kuhusu ushindani
unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini..katika pitapita
zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja wa gwiji wa huu muziki
Diamond platnumz ameandika kwamba anaelekea mombasa ambako gwiji Alikiba
atapafomu akiwa pamoja na Chris brown kutoka America na wizkid,na kwa
maoni ya watu wengi wanasema kwamba Sallam anaenda kumnasa Chris brown
ili afanye kolabo na Chibu kama kipindi kile kwa Neyo..Nikiwa kama
mpenzi bongofleva naomba kingkiba afanye kitu kuhusu kolabo na CB na
asichezee bahati..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment