Baada ya wimbo wa Goodluck Gozbert ambao unafanya vizuri kwasasa ngoma
ya “Ipo Siku”, Sasa hii hapa ni Cover ya wimbo huo ambao msanii aitwaye
Marioo ameurudia tena ukiwa katika Reggae Version, sikiliza hapa.
Reviewed by Jozey The Boy
on
19:56:00
Rating: 5
0 comments:
Post a Comment