Hii ni time nyingine tena ya kuenjoy na mdundo mpya kutoka kwa msanii Ramsoh Latinho mdundo unaokwenda kwa jina la JASIRI Ebwana mwanangu wa dhahabu huyu mchizi anafanyia shughuli zake za mziki nchini Kenya na ni mtanzania wa kanda ya kati Singida Hii n kati ya ngoma kali ambayo imeanza kufanya vizuri uko kenya na nje ya mipaka yake
Unaweza kubonyeza Play hapa chini kisha ukimaliza kuitazama niachie comment yako ili baadae Ramsoh Latinho apite kuzisoma
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment