,

,

,

,
Entertainment

Flora Mvungi Kaitaja Kashfa Ambayo Hatoisahau Maishani Mwake…

Ni headlines za msanii Flora Mvungi ambae jana October 19,  2016 alifunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.



Mimi sio mgeni macho mwa watu na wengi wananifahamu tabia yangu ikoje na wengi wanafahamu page yangu ya instagram ikoje na sijawahi kumtukana mtu bila sababu ya msingi kitu kikubwa’
‘Kikubwa ni kwamba ilivyotokea taarifa kwamba mimi ndio mmiliki wa ukurasa wa instagram uitwao Marashi ya pemba iliniumiza sana na kuniharibia hata kwa watu wengi ninaowaheshimu kwahiyo ningekupenda kuwaambia mashabiki wangu kwamba zile taarifa za mimi kumiliki huo ukurasa sio za kweli’

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.