,

,

,

,
Video

VIDEO: Mabibi na Mabwana Msanii Mwasa Mwasango Anawaalika kuitizama Video yake ya NIKUBALI

Hii ni time nyingine tena ya kuenjoy na mdundo mpya kutoka kwa msanii  Mwasa Mwasango video iliyoongozwa na Razzydoctor Audio ikiwa imetengenezwa na Producer Jodo Ducer katika studio ya Bash Record mdundo unaokwenda kwa jina la NIKUBALI
Unaweza kubonyeza Play hapa chini kisha ukimaliza kuitazama niachie comment yako ili baadae MWASA MWASANGO apite kuzisoma.

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.