,

,

,

,
News

Hii ndio orodha mpya ya majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopata mkopo chuo kikuu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 29,578.

Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo na Awamu ya Pili wanafunzi 11,481.
Orodha hiyo ya Awamu ya Tatu inapatikana HAPA  au unaweza kutembelea kwenye tovuti ya Bodi (HESLB) (www.heslb.go.tz).

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.