,

,

,

,
Music

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016


Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii

Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.
Harmonize akiwa na Akothee aliyeshinda tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki na Willy M Tuva
 Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.