Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 19 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi, moja kati ya michezo ilikuwa ukitazamwa na wengi ni katiki ya Barcelona ambao walikuwa nyumbani walimdhalilisha kocha wao wa zamani Pep Guardiola kwa kumpa kichapo cha 4-0, Messi akipiga hat-trick, Arsenal nao waliiadhibu Ludogorets Razgrad ya Bulgaria 6-0, wakati Mesut Ozil nae akipata hat trick
Mlinzi wa Man city Claudio Bravo akilambwa kadi nyekundu huku pia mlinzi wa Barcelona aliyeingia akitokea benchi Jeremy Mathieu naye akizawadiwa kadi nyekundu.
0 comments:
Post a Comment