,

,

,

,
Sports

Nahodha wa Brazil wa kikosi kilichoshinda ubingwa wa dunia mwaka 1970, Carlos Alberto amefariki


Nahodha wa zamani wa Brazil wa kikosi kilichoshinda ubingwa wa dunia mwaka 1970, Carlos Alberto amefariki dunia October 25, 2016 huku akiwa na umri wa mika 72 baada ya kupata shinikizo la moyo
 Alifunga mojawapo ya mabao mazuri zaidi duniani katika historia ya kombe la dunia katika mechi ya fainali dhidi ya Italy mwaka 1970,baada ya kuwachenga mabeki na kufunga kupitia mkwaju mkali alishinda makombe ya nyumbani akiwa na vilabu vya Santos na Fluminense ambavyo alivichezea mechi 400
 Carlos Alberto atakumbukwa kwa kufunga moja ya magoli bora katika historia ya kombe la dunia, mnamo mwaka 1970

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.