Kumekuwepo
na taarifa katika mitandao mbalimbali ambayo inaihusisha klabu ya Yanga
kumfukza kazi kocha mkuu wa klabu hiyo, Hans Van De Plujin na msaidizi
wake, Juma Mwambusi.
Taarifa
hizo zimeufikia uongozi wa Yanga na kupitia ukurasa wa klabu hiyo wa
Facebook umetoa taarifa ya kukanusha kumfukuza kocha na kwamba Plujin
bado anaendelea na kibarua chake kama kawaida
0 comments:
Post a Comment