,

,

,

,
Video

Video: Tiwa Savage Ft. Busy Signal – Key To The City (Remix)

Video mpya ya wasanii kutoka Nigeria, Tiwa Savage toka lebo ya Mavins Records na Roc Nation ameachia video mpya ya wimbo “Key To The City”, hii ikiwa ni (Remix). amemshirikisha msanii Busy Signal.

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.