Japo Jah Prayzah ni staa mkuwa nchini Zimbabwe lakini bado anaendelea
kumshukuru na atamkumbuka kila siku Diamond Platnumz baada ya kufanya
video ya wimbo wake wa ‘Watora Mari’ kutazamwa zaidi ya mara milioni nne
kwenye mtandao wa Youtube kitendo ambacho hakijawahi kutokea katika
maisha yake ya muziki
Kupitia mtandao wa Instagram, Jah amemshukuru hitmaker wa ‘Marry You’ kwa kuandika:
Kupitia mtandao wa Instagram, Jah amemshukuru hitmaker wa ‘Marry You’ kwa kuandika:
This is one guy i can give thumbs up all day. Help me thank @diamondplatnumz for the role he has played in my musical journey and growth.All the best my brotherHii ndio tafsiri yake ya kiswahili
Huyu ni mtu ambaye ninaweza kumpa pongezi kila siku. Nisaidie kumshukuru @diamondplatnumz kwa jukumu alizocheza katika safari yangu ya music na ukuaji. Kila la kheri kaka yangu
0 comments:
Post a Comment