Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar Baby J Machi 18 anatarajia
kufanya party maalumu kwajili ya uzinduzi wa Foundation yake mpya ambayo
itakuwa inajihusisha na mambo ya kijamii.
Muimbaji huyo amedai party hiyo itahudhuriwa na wadau mbalimbali wa muziki pamoja viongozi wa serikali.
“Hiyo siku kuna na mambo mengi yatafanyika kuhusu muziki wangu, ni siku maalum kwangu ambayo nitangaza mambo mengi kuhusu muziki wangu, kwa hiyo wadau wangu wakae tayari kwajili ya ujio mpya wa Baby J nimejipanga vizuri kwajili ya mwaka 2017,” alisema Baby J.
Party hiyo imepangwa kufanyika Maruhubi Beach Villa, Maruhubi kuanzia saa moja usikui

0 comments:
Post a Comment