Rapper Nick wa Pili amefurahishwa na umoja uliooneshwa na vyombo vya
habari katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na hali tete baada ya mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho Usiku wa
Ijumaa iliyopita kutokana na video za CCTV kamera zilivyoonyesha.
Nick ametoa pongezi hizo kupitia mtandoa wa Twitter lakini pia amewachana wasanii wenzake ambao wamekuwa hawana umoja katika kutafuta maslahi yao.
Kupitia mtandao huo, rapper huyo ameandika:
Nick ametoa pongezi hizo kupitia mtandoa wa Twitter lakini pia amewachana wasanii wenzake ambao wamekuwa hawana umoja katika kutafuta maslahi yao.
Kupitia mtandao huo, rapper huyo ameandika:
Hongera vyombo vya habari kuungana, wasanii sisi mwenzetu hata au wawe, tutatizama tu..kimtizamo finyu…
0 comments:
Post a Comment