,

,

,

,
Entertainment

Vanessa Mdee: Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii

Vanessa Mdee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke rumande Jumatatu hii baada ya kushikililiwa na polisi jijini Dar es Salaam kuanza Jumatano ya wiki iliyopita.
Muimbaji huyo wa Cash Madame amewashukuru wote waliompa pole wakati alipokuwa ameshikiliwa na kudai kuwa ataachia wimbo mpya wiki hii.
“I love you all sooo much ,” ameandika kwenye Twitter.
“It is by his Grace alone Utukufu kwa Mungu wetu wa miujiza.
Thankyou for your kind tweets and posts. I got a glimpse of some of them and this kinda loooooove ,” ameongeza.
“AND incase you were wondering. I am doing so fine. Infact new music out THIS WEEK 

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.