Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imetoa
orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanza
waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka
wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 29,578.
Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo na Awamu ya Pili wanafunzi 11,481.
Orodha hiyo ya Awamu ya Tatu inapatikana HAPA au unaweza kutembelea kwenye tovuti ya Bodi (HESLB) (www.heslb.go.tz).

0 comments:
Post a Comment