Mtu wangu leo October 15 2016 nakukutanisha na hii stori kutoka kwa
mkali kutoka Bongoflevani Diamond Platnumz kuhusu mipango yake ya
kufanaya collabo na watoto wa kike kutoka Bongoflevani na haya ndio
yalikuwa majibu ya Diamond Platnumz.
‘Nimeshafanya wimbo na Linnah pia dada yangu Queen Darleen unajua pia uchache wa wasanii wa kike kwenye soko letu la muziki ndio linafanya tuwe na collabo chache na wasichana unajua kuna wengine wanaogopa labda kuja kuniomba collabo lakini wasiogope sisi hapa tuna uongozi wakija tunafanya‘ Diamond Platnumz
0 comments:
Post a Comment