Klabu ya Valencia inayoshiriki ligi kuu ya soka ya La Liga nchini
Uhispania imemteuwa Cesare Prandelli kuwa kocha wake mpya kwa
makubaliano ya miaka 2.
Mara ya kwanza klabu ya Valencia ilitoa maelezo kwamba Prandelli alitia saini mkataba wa hadi mwishoni mwa msimu wa mwaka 2017-2018.
Kocha Prandelli alikuwa pamoja na rais wa Valencia Lay Hoon Chan, wakikufuatilia mechi iliyochezwa jumapili hii kati ya Valencia na Atletico Madrid katika uwanja wao wa Mestalla ambapo mechi hiyo uliisha kwa Valencia 0-2 Atletico Madrid .
Prandelli ataanza rasmi kazi kama kocha wa Valencia siku ya Jumatatu hii tarehe 3 Oktoba na kukinoa kikosi chake.
Prandelli mwenye umri wa miaka 59 aliwahi kufunza timu ya taifa ya Italia kati ya mwaka 2010-2014 na kuifikisha kwenye fainali ya Euro 2012.
Aliwahi kufanya kazi na vilabu vya Galatasaray ya Uturuki msimu wa mwaka 2014-2015 na kupigwa kalamu miezi 5 baadaye kutokana na matokeo yasiyoridhisha
Prandelli |

0 comments:
Post a Comment