,

,

,

,
Sports

Ratiba ya mechi za ligi kubwa tano za Ulaya zitakazochezwa wikiendi hii

Mshike mshike wa mechi za ligi mbalimbali duniani unaendelea tena wikiendi hii huku kwa upande wa ligi kuu Tanzania Bara macho ya mashabiki wengi yakiutazama mchezo wa Jumamosi hii mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba (K/Koo derby) itakayochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam

Hizi ni mechi zitakazochezwa wikiendi hii kwenye ligi kubwa tano za Ulaya.
Uingereza
Swansea City vs Liverpool
Hull City vs Chelsea
Sunderland vs West Bromwich Albion
Watford vs AFC Bournermouth
West Ham United vs Middlesbrough
Manchester United vs Stock City
Leicester City vs Southampton
Tottenham Hotspur vs Manchester City
Burnley vs Arsenal
Hispania
Granada vs Leganes
Sevilla vs Alaves
Osasuna vs Las Palmas
Deportivo la Coruna vsSporting Gijon
Valencia vs Atletico Madrid
Real Madrid vs Eibar
Espanyol vs Villarreal
Malaga vs Atletic Club
Celta de Vigo vs Barcelona
Italia
Pescara vs Chievi Verona
Udinese vs Lazio
Empoli vs Juventus
Atalanta vs Napoli
Bologna vs Genoa
Cagliari vs Crotone
Sampdoria vs Palermo
AC Milan vs Sassuolo
Torino vs Fiorentina
Roma vs Internazinale
Ujerumani
Bayern Munich vs FC Cologne
Darmstard vs Weder Bremen
Freiburg vs Eintratch Frankfurt
Hertha Berlin vs Humburger SV
Ingolsttadt vs Hoffenheim
Bayer Leverkusen vs Borussia Dortmund
Wolfsburg vs Mainz 05
Schalke 04 vs Borrusia M’gladbach
Ufaransa
Paris Saint german vs Bordeaux
Caen vs Toulouse
Dijon vs Montpellier
lille vs Nancy
Metz vs Monaco
Angers vs Olympique Marseille
Nice vs Lorient
Olympique Lyonnais vs Saint-Etienne
Nantes vs SC Bastia

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.