Profesa Jay na Rama Dee wanaukubali muziki wa Singeli hadi
kuwashirikisha nyota wa muziki huo kwenye nyimbo zao, lakini si kwa
mnyama TID
Muimbaji huyo wa Confidence, ameonekana kumkazia staa wa muziki wa Singeli, Man Fongo, baada ya kuulizwa kama anaweza kufanya wimbo naye.
Akiongea na kipindi cha Friday Night Live cha EATV, muimbaji huyo amesema kwa sasa haitawezekana, labda mwaka 2020.
“Nitakuwa tayari mwaka 2020 na si sasa, pamoja na kwamba utakuwa mwaka wa uchaguzi lakini ndiyo kitakuwa kipindi kizuri cha kufanya hivyo lakini kwa sasa hivi sipo tayari nina kazi nyingi nazifanya,” alisema TID.
Kwa sasa muziki wa Singeli umeonekana kukubalika zaidi na unatabiriwa kutengeneza nyota wengi zaidi katika miaka inayokuja.
Source:Bongo5

0 comments:
Post a Comment