Mwanamuziki wa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo, Koffi Olomide ameomba radhi tena kufuatia tukio la kumpiga teke dancer wake alipokuwa kwenye uwanja wa ndege nchini Kenya.
Koffi Olomide amejitokeza kupitia kipindi cha Churchill Show kinachooneshwa katika kituo cha runinga cha NTV na kuwaomba msamaha Wakenya na mashabiki wake kwa ujumla kwa kitendo hicho.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment