Muimbaji huyo ametimiza hilo baada ya kuzindua mavazi yake hayo
yanayojulikana kama Fenty For Puma kwenye tamasha la mitindo la ‘Paris
Fashin Week’ lililofanyika Jumatano hii kwenye ukumbi wa Hotel de
Salomon De Rothschild, Ufaransa.
Rihanna anaungana na msanii mwenzake Kanye West kutengeneza pesa za ziada kwenye fashion. Tazama picha zaidi hapo chini.
0 comments:
Post a Comment