Msanii wa filamu, Irene Uwoya ametoa nafasi kwa vijana wawili kuigiza katika tamthilia yake mpya ya ‘Drama Queen’
Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, aliamua kuandaa tamthilia kutokana na runinga nyingi nchini kuhitaji tamthilia.
Jumanne hii mwigizaji huyo ametoa deal kwa vijana wapya wawili kushiriki katika tamthilia hiyo.
“Drama Queen tunatafuta wa baba wawili kwenye tamthilia yetu, ambaye yupo tayari apige namba hii 0719087622,” aliandika Irene Uwoya kupitia instagram.
Tamthilia hiyo inatarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment