,

,

,

,
Music

Marehemu Michael Jackson ameingiza $825m mwaka huu

Forbes wametoa orodha ya mastaa waliofariki wanaoendelea kuingiza mkwanja mrefu zaidi. Mfalme wa muziki wa Pop, Michael Jackson ndiye anayeongoza orodha hiyo akiwa ameingiza kiasi cha dola milioni 825.

Sababu ya kuongoza orodha hiyo imetajwa ni kufuatia uamuzi wa kuuzwa nusu ya hisa zake kampuni Sony/ATV inayomiliki nyimbo za The Beatles na kuingizia kiasi cha dola milioni 750.
Orodha ya mastaa wengine waliofariki lakini wameendelea kuingiza fedha nyingi ni:
1)Steve McQueen 49 milioni
2)Charles Schulz $48 milioni
3)Arnold Palmer $40 milioni
4)Elvis Presley $27 milioni
5)Prince $25 milioni
6)Bob Marley $21 milioni
7)Theodor ‘Dr. Seuss’ Geisel $20 milioni
8)John Lonnon $12 milioni
9)Albert Einstein $11.5 milioni
10)Bettie Page $11 milioni
11)David Bowie $10.5 milioni
12)Elizabeth Taylor $8 milion

Jozey The Boy inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Instagram na Twitter ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment

copyright © 2016 Jozey The Boy. Powered by Blogger.